sule2013


Member
Joined Aug 11 2012
Actions
Send a Message
Add as Friend
Flag as Inappropriate
General Info

MALE
30 years old
canada
Site Memberships

Salama Trust

Recent Activity
  • sule2013 EID SAEEED.... Aug 20, 2012 
  • sule2013 Huzuni yakuwa Mwezi wa Ramadhani unatuwacha karibuni Aug 13, 2012 
  • sule2013 is now a member Aug 13, 2012 
About Me

BISMILLAHI RAHMANI RAHIIIM,

AS-SALAAM ALEYKUM WARAHMA-TU-LLAHI WABARAKATUHU,

KWA MAJINA NAITWA SULEIMAN ALI MIMI NI MKAAZI WA MAENEO YA TORONTO CANADA LAKINI MIZIZI YANGU NI MKAAZI WA MOMBASA KENYA. NIMEZALIWA MOMBASA KENYA NIKAKULIA  HADI KUMALIZA CHUO KIKUU NDIPO KUPATA SAFARI YAKUJA CANADA. KWA SASA NINA WATOTO WAWILI WAKIUME MMOJA KWA JINA ALI NA MWENGINE MUHSIN AMBAO WANA UMRI WA ALI MIWILI NA MUHSIN MIEZI 4.NILIBAHATIKA KUFANYA NDOWA TATU LAKINI ZOTE HAZIKUWA NA MAFANIKIO KWANI YOTE NI MIPANGO YAKE ALLAH AZAH WAJALLAH. HIVI BASI NIKO KATIKA JITAHADA ZAKUTAFUTA BINTI MNYENYEKEVU MFUATAJI WA DINI NA MWENYE IMANI YAKIISLAMU . WASALAAM ALEYKUM WARAHMA-TU-LLAHI WABARAKATUHU

Post a Comment

Oops!

Oops, you forgot something.

Oops!

The words you entered did not match the given text. Please try again.

You must be a member to comment on this page. Sign In or Register

0 Comments

Oops! This site has expired.

If you are the site owner, please renew your premium subscription or contact support.